7 Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
Kusoma sura kamili Mwa. 17
Mtazamo Mwa. 17:7 katika mazingira