24 Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?
Kusoma sura kamili Mwa. 18
Mtazamo Mwa. 18:24 katika mazingira