Mwa. 19:1 SUV

1 Basi, wale malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi.

Kusoma sura kamili Mwa. 19

Mtazamo Mwa. 19:1 katika mazingira