Mwa. 19:19 SUV

19 Tazama, mtumwa wako ameona kibali machoni pako, nawe umezidisha rehema zako ulizonifanyia kwa kuponya nafsi yangu, nami siwezi kukimbilia mlimani nisipatwe na yale mabaya, nikafa.

Kusoma sura kamili Mwa. 19

Mtazamo Mwa. 19:19 katika mazingira