Mwa. 19:30 SUV

30 Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.

Kusoma sura kamili Mwa. 19

Mtazamo Mwa. 19:30 katika mazingira