5 Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.
Kusoma sura kamili Mwa. 19
Mtazamo Mwa. 19:5 katika mazingira