Mwa. 2:2 SUV

2 Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.

Kusoma sura kamili Mwa. 2

Mtazamo Mwa. 2:2 katika mazingira