7 BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Kusoma sura kamili Mwa. 2
Mtazamo Mwa. 2:7 katika mazingira