Mwa. 2:9 SUV

9 BWANA Mungu akachipusha katika ardhi kila mti unaotamanika kwa macho na kufaa kwa kuliwa; na mti wa uzima katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya.

Kusoma sura kamili Mwa. 2

Mtazamo Mwa. 2:9 katika mazingira