Mwa. 20:7 SUV

7 Basi sasa umrudishe mwanamke kwa mtu huyo, maana yeye ni nabii, naye atakuombea, upate kuishi. Bali usipomrudisha, fahamu ya kwamba kwa hakika utakufa wewe na watu wote ulio nao.

Kusoma sura kamili Mwa. 20

Mtazamo Mwa. 20:7 katika mazingira