Mwa. 21:12 SUV

12 Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.

Kusoma sura kamili Mwa. 21

Mtazamo Mwa. 21:12 katika mazingira