Mwa. 21:2 SUV

2 Sara akapata mimba akamzalia Ibrahimu mwana wa kiume katika uzee wake, kwa muhula alioambiwa na Mungu.

Kusoma sura kamili Mwa. 21

Mtazamo Mwa. 21:2 katika mazingira