Mwa. 21:23 SUV

23 Basi sasa uniapie kwa Mungu, ya kuwa hutanitenda hila, wala mwanangu, wala mjukuu wangu, lakini kwa kadiri ya fadhili niliyokutendea utanitendea mimi, na nchi hii ambayo umetembea ndani yake.

Kusoma sura kamili Mwa. 21

Mtazamo Mwa. 21:23 katika mazingira