Mwa. 22:3 SUV

3 Ibrahimu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.

Kusoma sura kamili Mwa. 22

Mtazamo Mwa. 22:3 katika mazingira