Mwa. 22:6 SUV

6 Basi Ibrahimu akazitwaa kuni za hiyo sadaka, akamtwika Isaka mwanawe; akatwaa moto na kisu mkononi mwake, wakaenda wote wawili pamoja.

Kusoma sura kamili Mwa. 22

Mtazamo Mwa. 22:6 katika mazingira