Mwa. 22:9 SUV

9 Wakafika mahali pale alipoambiwa na Mungu, Ibrahimu akajenga madhabahu huko, akaziweka tayari kuni, kisha akamfunga Isaka mwanawe, akamweka juu ya madhabahu, juu ya zile kuni.

Kusoma sura kamili Mwa. 22

Mtazamo Mwa. 22:9 katika mazingira