Mwa. 23:16 SUV

16 Ibrahimu akakubali maneno ya Efroni. Ibrahimu akampimia Efroni ile fedha aliyotaja masikioni mwa wazawa wa Hethi, shekeli za fedha mia nne za namna inayotumika na wenye biashara.

Kusoma sura kamili Mwa. 23

Mtazamo Mwa. 23:16 katika mazingira