Mwa. 23:19 SUV

19 Basi baada ya hayo Ibrahimu akamzika Sara mkewe katika pango ya shamba la Makpela kuelekea Mamre, ndiyo Hebroni, katika nchi ya Kanaani.

Kusoma sura kamili Mwa. 23

Mtazamo Mwa. 23:19 katika mazingira