Mwa. 24:15 SUV

15 Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Ibrahimu, naye ana mtungi begani pake.

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:15 katika mazingira