17 Ndipo yule mtumishi akapiga mbio kwenda kumlaki, akasema, Tafadhali unipe maji kidogo katika mtungi wako ninywe.
Kusoma sura kamili Mwa. 24
Mtazamo Mwa. 24:17 katika mazingira