Mwa. 24:22 SUV

22 Ikawa, ngamia walipokwisha kunywa, yule mtu akatwaa pete ya dhahabu, uzani wake ulikuwa nusu shekeli, na vikuku viwili kwa mikono yake, uzani wake ulikuwa shekeli kumi za dhahabu,

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:22 katika mazingira