Mwa. 24:35 SUV

35 na BWANA amembarikia sana bwana wangu, amekuwa mtu mkuu; amempa kondoo, na ng’ombe, na fedha, na dhahabu, na watumwa, na wajakazi, na ngamia, na punda.

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:35 katika mazingira