Mwa. 24:47 SUV

47 Kisha nikamwuliza nikasema, U binti wa nani wewe? Naye akasema, Mimi ni binti Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia. Nami nikamtia hazama puani mwake na vikuku mikononi mwake.

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:47 katika mazingira