Mwa. 24:53 SUV

53 Kisha huyo mtumishi akatoa vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu, na mavazi, akampa Rebeka; na vitu vya thamani akampa nduguye na mamaye pia.

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:53 katika mazingira