Mwa. 24:67 SUV

67 Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mamake.

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:67 katika mazingira