Mwa. 24:7 SUV

7 BWANA, Mungu wa mbingu, aliyenitoa katika nyumba ya babangu, na kusema nami katika nchi niliyozaliwa, aliniapia akisema, Nitawapa uzao wako nchi hii; yeye atampeleka malaika wake mbele yako, nawe utamtwalia mwanangu mke tokea huko;

Kusoma sura kamili Mwa. 24

Mtazamo Mwa. 24:7 katika mazingira