21 Isaka akamwomba BWANA kwa ajili ya mke wake, maana alikuwa tasa. Naye BWANA akamwitikia, na Rebeka mkewe akachukua mimba.
Kusoma sura kamili Mwa. 25
Mtazamo Mwa. 25:21 katika mazingira