Mwa. 25:23 SUV

23 BWANA akamwambia,Mataifa mawili yako tumboni mwako,Na kabila mbili za watu watafarakana tangu tumboni mwako.Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili,Na mkubwa atamtumikia mdogo.

Kusoma sura kamili Mwa. 25

Mtazamo Mwa. 25:23 katika mazingira