Mwa. 25:27 SUV

27 Watoto wakakua, Esau alikuwa mtu ajuaye kuwinda wanyama, mtu wa nyikani, na Yakobo alikuwa mtu mtulivu, mwenye kukaa hemani.

Kusoma sura kamili Mwa. 25

Mtazamo Mwa. 25:27 katika mazingira