Mwa. 25:34 SUV

34 Yakobo akampa Esau mkate na chakula cha dengu, naye akala, akanywa, kisha akaondoka, akaenda zake. Hivyo Esau akaidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza.

Kusoma sura kamili Mwa. 25

Mtazamo Mwa. 25:34 katika mazingira