Mwa. 26:15 SUV

15 Na vile visima vyote walivyochimba watumwa wa baba yake, siku za Ibrahimu babaye, Wafilisti walikuwa wamevifukia, wakavijaza kifusi.

Kusoma sura kamili Mwa. 26

Mtazamo Mwa. 26:15 katika mazingira