Mwa. 26:18 SUV

18 Isaka akarudi akavichimbua vile visima vya maji walivyovichimba siku za Ibrahimu babaye; maana wale Wafilisti walikuwa wamevifukia baada ya kufa kwake Ibrahimu; naye akaviita majina kufuata majina alivyoviita babaye.

Kusoma sura kamili Mwa. 26

Mtazamo Mwa. 26:18 katika mazingira