Mwa. 26:20 SUV

20 Wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaka wakisema, Maji haya ni yetu. Ndipo akakiita jina la kile kisima Eseki, kwa sababu waligombana naye.

Kusoma sura kamili Mwa. 26

Mtazamo Mwa. 26:20 katika mazingira