Mwa. 26:24 SUV

24 BWANA akamtokea usiku uleule, akasema, Mimi ni Mungu wa Ibrahimu baba yako, usiogope, maana mimi ni pamoja nawe, nami nitakubarikia, na kuzidisha uzao wako kwa ajili ya Ibrahimu mtumishi wangu.

Kusoma sura kamili Mwa. 26

Mtazamo Mwa. 26:24 katika mazingira