Mwa. 26:3 SUV

3 Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako.

Kusoma sura kamili Mwa. 26

Mtazamo Mwa. 26:3 katika mazingira