Mwa. 26:9 SUV

9 Abimeleki akamwita Isaka, akasema, Yakini huyu ni mkeo, mbona ulisema, Ni ndugu yangu huyu? Isaka akamwambia, Kwa sababu nalisema, Nisife kwa ajili yake.

Kusoma sura kamili Mwa. 26

Mtazamo Mwa. 26:9 katika mazingira