Mwa. 27:1 SUV

1 Ikawa Isaka alipokuwa mzee, na macho yake yamepofuka asione, akamwita Esau, mwanawe mkubwa, akamwambia, Mwanangu. Naye akamwitikia, Mimi hapa.

Kusoma sura kamili Mwa. 27

Mtazamo Mwa. 27:1 katika mazingira