20 Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu BWANA, Mungu wako, amenifanikisha.
Kusoma sura kamili Mwa. 27
Mtazamo Mwa. 27:20 katika mazingira