Mwa. 27:25 SUV

25 Akasema, Niletee karibu nami nipate kula mawindo ya mwanangu, ili roho yangu ikubariki. Akamsogezea karibu, naye akala; kisha akamletea mvinyo, akanywa.

Kusoma sura kamili Mwa. 27

Mtazamo Mwa. 27:25 katika mazingira