Mwa. 27:29 SUV

29 Mataifa na wakutumikieNa makabila wakusujudie,Uwe bwana wa ndugu zako,Na wana wa mama yako na wakusujudie.Atakayekulaani alaaniwe,Na atakayekubariki abarikiwe.

Kusoma sura kamili Mwa. 27

Mtazamo Mwa. 27:29 katika mazingira