Mwa. 27:33 SUV

33 Isaka akatetemeka tetemeko kuu sana, akasema, Ni nani basi yule aliyetwaa mawindo akaniletea? Nami nimekwisha kula kabla hujaja wewe, nikambariki; naam, naye atabarikiwa.

Kusoma sura kamili Mwa. 27

Mtazamo Mwa. 27:33 katika mazingira