Mwa. 27:36 SUV

36 Akasema, Je! Hakuitwa Yakobo kwa haki, maana amejitia mahali pangu mara mbili hizi? Alichukua haki yangu ya mzaliwa wa kwanza, na sasa amechukua mbaraka wangu. Akasema, Je! Hukuniwekea na mimi mbaraka?

Kusoma sura kamili Mwa. 27

Mtazamo Mwa. 27:36 katika mazingira