Mwa. 28:11 SUV

11 Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, maana jua lilikuwa limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa chake, akalala usingizi pale pale.

Kusoma sura kamili Mwa. 28

Mtazamo Mwa. 28:11 katika mazingira