13 Na tazama, BWANA amesimama juu yake, akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wa Ibrahimu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii uilalayo nitakupa wewe na uzao wako.
Kusoma sura kamili Mwa. 28
Mtazamo Mwa. 28:13 katika mazingira