Mwa. 28:6 SUV

6 Esau akaona ya kwamba Isaka amembariki Yakobo na kumpeleka Padan-aramu, ili ajitwalie mke huko, na katika kumbariki akamwagiza, akasema, Usitwae mke wa binti za Kanaani,

Kusoma sura kamili Mwa. 28

Mtazamo Mwa. 28:6 katika mazingira