Mwa. 28:9 SUV

9 Basi Esau akaenda kwa Ishmaeli akamtwaa Mahalathi, binti Ishmaeli mwana wa Ibrahimu, ndugu wa Nebayothi, kuwa mkewe pamoja na wakeze aliokuwa nao.

Kusoma sura kamili Mwa. 28

Mtazamo Mwa. 28:9 katika mazingira