Mwa. 29:2 SUV

2 Naye akaangalia, na tazama, kiko kisima kondeni, na makundi matatu ya kondoo yamelala karibu nacho, kwa sababu katika kisima kile hunywesha makundi; na palikuwa na jiwe kubwa juu ya kinywa cha kisima.

Kusoma sura kamili Mwa. 29

Mtazamo Mwa. 29:2 katika mazingira