Mwa. 3:1 SUV

1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?

Kusoma sura kamili Mwa. 3

Mtazamo Mwa. 3:1 katika mazingira