Mwa. 3:17 SUV

17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;

Kusoma sura kamili Mwa. 3

Mtazamo Mwa. 3:17 katika mazingira