Mwa. 3:19 SUV

19 kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.

Kusoma sura kamili Mwa. 3

Mtazamo Mwa. 3:19 katika mazingira